BASATA YAMPIGA ‘STOP’ STEVE NYERERE

BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limeingilia kati Mgogoro wa ndani la Shirikisho la Muziki na kusimamisha uteuzi wa awali wa Msemaji wa Shirikisho hilo Steven Mengere . Aidha Baraza limetoa uamuzi huo mara baada ya kufanya kikao Machi 23 na kuridhia kuwa Msemaji huyo kutoanza Majukumu yake Hadi pale sakata hilo litakapotatuliwa. Pia Baraza limejiridhisha